Msaada: Mfuko wa pensheni wenye manufaa zaidi kwa mwajiriwa

Msaada: Mfuko wa pensheni wenye manufaa zaidi kwa mwajiriwa

MWANASIASA HURU

Senior Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
180
Reaction score
240
Habari zenu wana jf, naomba kwa wenye idea au uzoefu ama wanafahamu bayana wanifahamishe kuhusu hii mifuko ya pensheni.

Je, ni upi wenye manufaa zaidi na usumbufu haba kwa mwajiriwa inapofika mda wa kuchukua chako?

Je, unaweza kuhama toka mfuko hadi mwingine bila kubadili eneo la kazi?


Nawasilisha:
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom