Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 10, 2012 #1 mie ni mwanafunzi, mwaka wa Pili na nasoma bsc. geology. mwezi wa 7 mwanzoni nahitajika kufanya field ktk mgodi wowote unaohusika na exploration hapa Tanzania ikiwa ni sehemu ya masomo yangu. naomba mtu mwenye connection anisaidie please.
mie ni mwanafunzi, mwaka wa Pili na nasoma bsc. geology. mwezi wa 7 mwanzoni nahitajika kufanya field ktk mgodi wowote unaohusika na exploration hapa Tanzania ikiwa ni sehemu ya masomo yangu. naomba mtu mwenye connection anisaidie please.