Msaada: Mgongo unaniuma sanaa

Msaada: Mgongo unaniuma sanaa

Ukipata tatizo la maumivu ya mgongo, tambua kwamba uponaji wake huchukua muda mrefu ama unaweza usipone kabisa.
Nenda ukawaone wataaalamu wa mifupa mazee...
 
dicloday gel tafuta hiyo dawa inaweza kukusaidia huku unafanya mipango ya kumwona dr
 
Acha kupoteza muda nenda hospitali kwa wataalamu wa mifupa na viungo vya fahamu.wao watakufanyia vipimo na kukushauri matibabu ya kufanya.Hizo Gel wanazokutajia watangulizi wa hapa JF zinasaidia tu kutuliza maumivu lakini tiba hasa watakushauri madaktari.
 
Back
Top Bottom