Msaada: Mgongo unaniuma sanaa

Binafsi niko na shida kama yako but me ni maeneo ya chini ya mgongo. Kama uko Dar jaribu hii dawa, inanisaidia sana though bado naendelea kuitumia.

 
Una kipindi nilikua naumwa san mgongo kutokan na kazi yang nakaa sana, nimeanza mazoez jan this yr, had sasa sisikii maumiv yoyote. Nilitumia madawa san had mazoez ya physiotherapy lkn skupona. FANYA MAZOEZ tu, mm kwa wiki nafanya mazoez 4.times ikiweka running 5km.
 
Tatizo litajulikana kwa kupata vipimo sahihi hospital na sio huku JF. Ukishajua tatizo njoo utushirikishe watu walio experience tatizo kama lako watakupa ushauri.
 
Sababu ni nini???

Ulipata ajali, ni mtu wa kukaa kitini muda mrefu (ofisini or dereva) au ni maradhi tu yamekuibukia?


Ni muhimu kujua chanzo na nature ya tatizo lako, pengine inawezekana tu mtindo wa maisha umesababisha hivyo
Habari ndg naomba msaada mgongo unaniuma san naomba msaada anae fahamu dawa au tatizo..
 
Habari ndg naomba msaada mgongo unaniuma san naomba msaada anae fahamu dawa au tatizo..
Ushauri wangu Muone Daktari wa Magonjwa ya Mifupa (Orthopedic surgion) au Neurosurgion( Daktari wa Mfumo wa Fahamu)..

Mara Nyingi matatizo Mengi yanayotokea au Kusababisha Mgongo kuuma ni matatizo ya Viunga Pingili vya Mgongo au Kwa Jina lake Vertabral Disc..

Na mara nyingi sana Maumivu ya Mgongo husababishwa na Lumber Disc au Sacrum ikiwa Bulge (Lumber Disc Bulge), Ikiwa Imeanza Kudegenerate (Lumber Disc Degeneration), Heniated Disc au Pengine thining of the Disc..

HIyo inatokeaje:-

Mara nyingi Tunapolala kwenye Magodoro yanayobonyea Sana au kukaa kwa Muda mrefu au Uzito Mkubwa Uliopitiliza kunafanya pressure kubwa ihamie Kwenye Lumber au hata Vertebral za Chini na hapo Ndo Disc kama Shock absober Inalemewa na Ndo inavimba (Bulge) etc..

So Chakufanya nenda Hospitali kapime X-Ray ,CT au MRI..

Maaana inabidi Uangalia kama Lordosis iko sawa ila kama kumeonekana Loss of Lordosis basi Inabidi ucheck MRI...

Ila cha Msingi Nenda Hospitali Matatizo ya Mgongo mara nyingj ukiwah Hatua za mwanzo Yanaweza yakapona kwa Mazoezi tu (Physiotherapy tu) ila Ukichelewa Ni mpaka Surgical ya Spine..

Nenda Hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…