Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha mkuuWadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha.
Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.