Msaada: Mguu wa kulia unavia maji. Ugonjwa gani huu?

JALUO

Senior Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
168
Reaction score
45
Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha.

Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.
 
Nenda kawaone wataalam wa magonjwa ya ngozi mkuu. Pole sana
 
Mi huja na kuondoka nami ni mguu huo huo wa kulia
 
Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha.

Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.
Picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…