Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Wahi kuupitishia barafu au umwagie maji ya baridi sana kama hauna barafu.Wanajamii Forum habari
Mguu wangu umeteguka naombeni ushauri nitumie dawa gani kama huduma ya kwanza, manaake nahisi maumivu makali sana nashindwa hata kukanyaga chini.
Msaada wenu ndgu zangu
Ahsante madamuWahi kuupitishia barafu au umwagie maji ya baridi sana kama hauna barafu.
Huduma ya kwanza, siyo tiba.
Mkuu nimejaribu kuunyoosha nimepata maumivu makali sanaWanaume wa kweli huwa tunaupiga na jiwe kubwa linaitwa kiboko ya Faiza , unanyoka mara moja
Ahsante mkuuPole mkuu,check youtube first aid
pole, ungekua huko kwa kijiji yetu ngekupeleka kwa zee la kufunga miteguko na mivunjiko yaa aina zote,Wanajamii Forum habari
Mguu wangu umeteguka naombeni ushauri nitumie dawa gani kama huduma ya kwanza, manaake nahisi maumivu makali sana nashindwa hata kukanyaga chini.
Msaada wenu ndgu zangu
Sawa mkuu na ahsante kwa ushauripole, ungekua huko kwa kijiji yetu ngekupeleka kwa zee la kufunga miteguko na mivunjiko yaa aina zote,
na siku izi serikali wamempatia kabisa na daktari wa hospitali kama msaidizi maana zee lenyewe halina shule ni darasa la saba, kabsaa...
Tiba yake sasa, kama umeteguka au kuvunjika akipapasa na kubaini penye hitilafu, dactari akuchoma ganzi zee lenyewe linafanya kama kuchomoa au kutenganisha palipovunjika kisha anarudishia kama anaplag chaji ya cm kwenye umeme kisha anafunga kwa nguvu sana,
within 3days unatembea vizuri kabisa
kwa hapo town nenda tu hospital vinginevyo utapata tabu sana....