dfreym JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 342 Reaction score 87 Jun 12, 2014 #1 Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
HONDA XL Senior Member Joined Apr 4, 2012 Posts 138 Reaction score 115 Jun 13, 2014 #2 hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana JF anapatikana kwa 0752317974. hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. pole sana.
hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana JF anapatikana kwa 0752317974. hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. pole sana.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Jun 18, 2014 #3 honda xl said: hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana jf anapatikana kwa 0752317974. Hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. Pole sana. Click to expand... nimemwelekeza chamana arudishe majibu km amefanikisha kuzuia tatizo
honda xl said: hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana jf anapatikana kwa 0752317974. Hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. Pole sana. Click to expand... nimemwelekeza chamana arudishe majibu km amefanikisha kuzuia tatizo
dfreym JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 342 Reaction score 87 Jun 20, 2014 Thread starter #4 Solved wakuu. Asanteni kwa Msaada
M mkalikali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 363 Reaction score 131 Jun 28, 2014 #5 Umesolve vp mkuu. Natanguliza shukrani..