Msaada miche ya vitunguu inakauka

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
342
Reaction score
87
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.

Msaada please.
 
punguza kiasi cha maji,hakikisha kuna mwanga wakutosha,hakikisha udongo ni laini kuruhusu mizizi kupitisha maji ya kutosha,weka mbolea.
 
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.

Msaada please.

punguza maji usimwagilie maji mengi sana
 
Hali ya hewa ikoje?miezi hi huwa mbegu ya kitunguu inasumbua tokana na baridi ile ya asubuhi inasababisha ugonjwa wa ukungu na miche kufa,ushauri piga dawa ya ukungu napia mwagilia mbegu asubuh kabla yajua kutoka ili kukontrol mildew.ni hayo mtu wangu wengne watakuongezea mawazo
 
Asante vipi kuhusu interval ya umwagiliaji?
 
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.

Msaada please.

Umelima walaya gain? Baadhi ya wilaya kuna nematodes ambao hukata mizizi ya vitunguu. Tumia nematocides
 
asante vipi kuhusu interval ya umwagiliaji?

interval siwezi kujua hali ya hewa na unyevu ulipomwagia mbegu,chamana angalia mbegu usiruhusu ukavu sna wala usiruhusu maji au ubichi kuzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…