MSAADA: Microsoft .NET Framework 3.5 Service Pack 1 Updates

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2007
Posts
1,741
Reaction score
481
Nimekwenda ktk windows updates nikawa prompted kuwa kuna high priority updates ambazo ni lazima ziwe installed. After a review imeonyeshwa hizo updates ni: Microsoft .NET Framework 3.5 Service Pack 1 and .NET Framework 3.5 Family Update for .NET versions 2.0 through 3.5 (KB951847) x86

Nimekommand update / install, lakini it is failing to upadate. Nimejaribu several times to no avail.
Can someone assist me on what to do next na kama hii update ni muhimu kweli kwa nayo.

Ninatumia windows xp (32 bit) with sp 3

Thanks
 
mkuu, mimi kunawakati nilikuwa na-install program fulani, ilinitaka niwe na .NET versions at least 2.0 Nilii-download free. Microsoft hawatoi bure higher versions than 2.0. Hivyo, kama unahitaji version 3.5 itakubidi ununue au umpate anayeweza kukupatia.
 
Mkuu , asante sana kwa ushauri. Hiyo nilikuwa siijui.
 
Nemesis, Siyo kweli kwamba Microsoft wanauza .NET framework, kama ikitokea inakataa kuinstall kitu cha kwanza jaribu kuinstall version za chini kwanza then update kwa hiyo 3.5. Kitu kingine angalia kama OS yake iko genuine kama ni za mazabe haitainstall kabisa.

" Nimekommand update / install, lakini it is failing to upadate. Nimejaribu several times to no avail.
Can someone assist me on what to do next na kama hii update ni muhimu kweli kwa nayo." Siyo muhimu kama huhitaji kuinstall any new application software zinazohitaji DotNet 3.5 framework.
 
Juakali, heshima yako.
Kwa hiyo iwapo mie natumia laptop yangu kwa routine work, e mails nk ni wazi sitahitaji au sivyo?
unaweza kunipa mfano kidogo wa the kind of new software applications which might require Dot net 3.5 framework?

Thanks
 
Kang, nimeiona hiyo download uliosuggest. Napata shida moja kwamba, ile iliyonikatalia kudownload pale www.download.microsoft.com ina size kubwa sana, 69.2 MB, lakini hii uloonyesha size yake ni just 2.8 Mb. Unadhani hapa kuna nini?
 
Heshima yako Misterdennis,
DotNet 3.5 size ya file yake ni hiyo 2.8 MB.
Unaweza angalia version uliyonayo katika system yako kwa kutype hii script kwenye browser address bar. "javascript:alert(navigator.userAgent)"
 

I dont think there is Desktop version of Microsoft Dot Net for sale. Its tottaly free na unaweza kuipata katika link z amicrosoft walizokupa jamaa.

Kama unashindwa kuisntall upadtes yeyeote soma eeror report kwa nini inasihiwa kusitall ikiwezekana nenda kwenye Event viwer ya pc yako. utakuwa lazima kuna software or version issue or incompatibilitty. Au inawezekana hiyo pc yako haina kabisa hiyo Dot Net
 
Kang, nimeiona hiyo download uliosuggest. Napata shida moja kwamba, ile iliyonikatalia kudownload pale www.download.microsoft.com ina size kubwa sana, 69.2 MB, lakini hii uloonyesha size yake ni just 2.8 Mb. Unadhani hapa kuna nini?

Kuna wakati Microsoft wanatumia program yao ya kudownload, so unadownload kwanza hiyo ndogo ambayo ni program inayodownload full file unayohitaji, nadhani ni kwa ajili ya kuweza ku-resume download ikikatika.

Nimeangalia fasta ni kama 230Mb hivi! So nadhani ni full .Net 3.5 SP1 sio update peke yake.
Unaweza kuidownload moja kwa moja na link hii:
http://download.microsoft.com/download/2/0/e/20e90413-712f-438c-988e-fdaa79a8ac3d/dotnetfx35.exe
 
NET 3.5 mbona inapatikana bure jamani? kama unatumia genuine version ya xp haina shida, just update! so easy!
 
Kwenye program ya ku add/remove programs ipo sehemu ya kuonyesha upadtes silizopo ktk pc.
Nimeona ya laptop yangu tayari ina .NET Framework 2.0 may be that is the reason it showing an upadte of size 69.2Mb compared to 230Mb seen by Kang which probably includes 2.0 and 3.5?
Hata hivyo nimeaumua kutumia link hiyo alioyoiweka kang hapo juu.
Asanteni being helpful. I'll shout nikikwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…