Asante mpenz, nikae kwa mda ganiKaa kwenye kochi uweke miguu kwenye stool . Kama ni tatizo la circulation litakwisha
anza sasa hivi mpaka saa ya kulala ukiamka unakwenda chooni tu. lakini pia muone daktari.Asante mpenz, nikae kwa mda gani
Asante ngoja nianze sahivi kukaaanza sasa hivi mpaka saa ya kulala ukiamka unakwenda chooni tu. lakini pia muone daktari.
Miguu kuvimba ni dalili kuwa moyo haifanyi kazi kama inavyopaswa.