Msaada, mimi mgeni hapa!

Kila Mbongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
308
Reaction score
435
Habarini wandugu......nina furaha sana leo nimejiunga jamii forums.Lakini naomba msaada wenu wa kujua wapi ntapata maelezo ya jinsi ya kuchangia mada mbalimbali kwa watu waliotoa hoja zao.
 
shuka mpaka chini utaona kibox kikubwa kimeandiiwa write ua reply then clic utaona mtelezo mzuuuri kisha shuka chini kidogi kwenye kitufe cha blue kimeandikwa send ndo usend reply yako sasa.
 
Habarini wandugu......nina furaha sana leo nimejiunga jamii forums.Lakini naomba msaada wenu wa kujua wapi ntapata maelezo ya jinsi ya kuchangia mada mbalimbali kwa watu waliotoa hoja zao.
nimeamn kwelii ww leo
 
Attachments

  • Screenshot_20170828-134129.png
    42.4 KB · Views: 52
hiyo pc nijuze mhusika yupo wapi? au umecopy tu.
Mkuu na mimi nina swali kama wewe, mwenyewe amesepa au ndo huyu kaamua kubadili jina? Naamini ni yeye sababu ya uchangiaji wake. Hahahaha rudia jina lako lianzalo na L
 
Mkuu na mimi nina swali kama wewe, mwenyewe amesepa au ndo huyu kaamua kubadili jina? Naamini ni yeye sababu ya uchangiaji wake. Hahahaha rudia jina lako lianzalo na L
anajiita princess ila mwandiko ni km waprince

sa sijui ndo yuleyule ili asionekane ni mhenga ama nene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…