Msaada mini dalili ya kansa ya titi

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Naomba kwa wanaojua mini dalili za Kansas Nina mdogowangu analibongebonge kwenye titi LA kulia na li bonge bonge ukilishika linatembea haliko fixed he hiyo inaeza ikawa mass au canser
 
aende ocean road ila navyojua kama lina move kuna uwezekano cio kansa ila ni uvimbe ila aende hospital kuona madoctor watamsaidia
 
Naomba kwa wanaojua mini dalili za Kansas Nina mdogowangu analibongebonge kwenye titi LA kulia na li bonge bonge ukilishika linatembea haliko fixed he hiyo inaeza ikawa mass au canser

Vizuri sana kwa kuwa mdadisi. Hilo libonge linalotembea linaweza kuwa fibro-adenoma. Njia pekee ya kuthibitisha ni kwenda hospitali kufanyiwa uchunguzi na kipimo(Fine needle aspiration Cytology; FNAC), ambapo chembe chembe kutoka kwenye hicho kivimbe zinataangaliwa kwenye darubini kuona kama ni kansa au laa.
Otherwise dalili za kansa ya matiti ni pamoja na kutoa damu kwenye chuchu, chuchu kuuma , kuwa na kivimbe kigumu ambacho kiko fixed kwenye titi au kwapa, ngozi ya titi kuwa nyeusi na yenye muoekano/vitundu vingi kama ganda la chungwa .Kwa ufupi nenda hospitali haraka kwa uchunguzi zaidi unapoona mabadiliko yasiyokuwa ya kawaida kwenye matiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…