Me naumwa minyoo ambayo huwa nahisi kama wadudu wanatembea ndani ya mwili nilienda kupima nikakutwa nayo bt nimetumia dawa mbalimbali huwa nahisi unafuu kisha inarudi after 2 weeks nimetumia zentel na baadhi bt hali ndio hiyo hiyo msaada please nitumie dawa gani ?