Msaada : Misfiring problem

Msaada : Misfiring problem

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,382
Reaction score
2,582
Nimenunua spark plugs mpya lakini bado gari ina- miss tu. Naomba wale watalam wanisadie sababu zingine za misfiring .
 
Jazia nyama uzi wako gari gani au engine gani ili iwe rahisi kupewa ushauri hakunaga ugonjwa mpya kwenye gari..kabla hata gari haijaharibika wazungu wanapotengeneza tuu huwa wanamaliza kila kitu huwa wanatoa na magonjwa yake dalili na solution zake.. sema sisi ni wavivu sana
 
Chaser Avante gx100 ,engine IG kavu

Back
Top Bottom