Msaada:MISHAHARA YA EQUITY BANK

Msaada:MISHAHARA YA EQUITY BANK

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Kuna rafiki yangu ,ameitwa kwenye interview na equity bank kwa position ya operation officer, anaomba kwa yeyote anayejua mishahara ya equity bank kwa operation officer position
 
450,000 take home<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S-rap.gif" border="0" alt="" title="A S Rap" smilieid="83" class="inlineimg" />
<br />
<br />
mbona walipa ela ndogo sana
 
Hao jamaa wamekuja wakijua kabisa soko letu likoje na sisi watz tuko vipi kwenye kudai maslahi etc...MD wao alishakuwa Barclays kama miaka 6 hivi anajua kila kitu...mishahara ameshaipanga huyo MD maana anajua soko na udhaifu wetu woote!!kuwa hatuwezi ku bargain sababu tunaogopa kukosa kazi hasa kwa wasio nacho...(Hawana ajira) hao ndio atawapata bei rahisi zaidi
 
Bank kubwa,ambayo for six month wamepata Profit after tax 82bil,bado wanataka kuwanyonya watz wa kuwalipa pesa kiduchu
 
dah kweli mambo ni magumu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bank kubwa,ambayo for six month wamepata Profit after tax 82bil,bado wanataka kuwanyonya watz wa kuwalipa pesa kiduchu

Ndio Maana wawekezaji wengi wanaingia kwenye "Bank industry" simply there is a Superdupa profit.!!....oky
 
Back
Top Bottom