Kuna rafiki yangu ,ameitwa kwenye interview na equity bank kwa position ya operation officer, anaomba kwa yeyote anayejua mishahara ya equity bank kwa operation officer position
Hao jamaa wamekuja wakijua kabisa soko letu likoje na sisi watz tuko vipi kwenye kudai maslahi etc...MD wao alishakuwa Barclays kama miaka 6 hivi anajua kila kitu...mishahara ameshaipanga huyo MD maana anajua soko na udhaifu wetu woote!!kuwa hatuwezi ku bargain sababu tunaogopa kukosa kazi hasa kwa wasio nacho...(Hawana ajira) hao ndio atawapata bei rahisi zaidi