Msaada Mitihani ya kujiunga na VETA

maelekezo

Member
Joined
Aug 21, 2023
Posts
19
Reaction score
7
Naombeni msaada nimetuma maombi ya kujiunga na veta lkn nikeambiwa kutakuwa na mtihan wa kujiunga Sasa sijajua nijiandaaje na nin wanapenda kutoa msaada wakubwa kwa anae faham anijuze
 
Mtihani NI uelewa wa kawaida hakuna haja ya kusoma,uko almost kama mtihani wa Darasa la saba
 
Unajiunga na veta?
Ok fani gani alafu ni usahili tu wa kawaida usiogope unadhani hata kusoma utasoma wapi na topic ip?
Nenda kafanye usahili kuna written na oral niwakawaida mno!
 
Nimefanya mtihan wa kujiunga na veta jina langu halijatoka nilitaka kusoma electrical installation long course nahitaj kusoma mwakan anejua naomba anijuze nin cha kufanya wakubwa
 
Nimefanya mtihan wa kujiunga na veta jina langu halijatoka nilitaka kusoma electrical installation long course nahitaj kusoma mwakan anejua naomba anijuze nin cha kufanya wakubwa
mkuu ulifanikisha? kama ukuona jina lako ulipaswa kurud kurudia tena interview then usubili chaguo la pili.... kwa sasa itakuwa imepita subiri mpk mwez wa 8 ukapige peper upya kwa ajili ya kusoma mwaka 2025 long course au kama upo vzr kiuchumi soma short course iyo unasoma muda wowote tu pesa na muda wako tu
 
Ok hv wakubwa kwa sas tukiachana na electrical installation ni kozi gani nzuri kusoma haitokufanya huaso mtaani msaada wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…