Naam,mkuu km una degree yeyote inayohusu hz biashara ,km unataka kuchek na procurement &supplies professional and technichian board (Psptb) inatakiwa uanzie profesional stage1 with exemption ,yaan stage 1 km ina 4subjects wewe utafanya yale ambayo hujawah kusoma kwenye course yako!eg economics na mgt principles hutafanya bt procurement lazima ufanye!
Utafanya stage1,2 na 3 with exemption bt stage4,na 5 utafanya masomo yote 4 kila stage!
Ukimaliza zote utakua certified procurement &supplies professional (CPSP),then utakua na knowledge ya kutosha ya kufanya kaz za ununuz na ugavi katika kitengo husika!,i mean as your experienc shows,utakua na uwanja mpana wa kuajiriwa na wewe pia kuwa na ufaham mkubwa wa kufanya majukum yako ofisini!,
ahsante!,
mathew CBE-10