Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh acha kumtisha mwenzio bwanaHakuna mtu aliyeanguka chooni/bafuni akapona..
Kuna mashetani wabaya sana huku..
Hapo mtegemee kumpoteza mama au mtoto..
Mungu aliingilie swala hili.. Time will tell..
Kama hajaumia basi hakuna shida yoyote asiwe na wasi wasi, ila awe makini na hiyo hali yake asije akaumia.Habari wakuu.
Rafiki angu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaemia Kuoga Asubuhi kaanguka Kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia.
Je kuna tatizo am a shida yoyote?
Usiku mwema.