M macho89 Member Joined Dec 29, 2016 Posts 98 Reaction score 17 Nov 9, 2017 #1 Habari wakuu, Rafiki yangu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaingia kuoga asubuhi kaanguka kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia. Je kuna tatizo ama shida yoyote? Usiku mwema.
Habari wakuu, Rafiki yangu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaingia kuoga asubuhi kaanguka kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia. Je kuna tatizo ama shida yoyote? Usiku mwema.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Nov 9, 2017 #2 Hakuna mtu aliyeanguka chooni/bafuni akapona.. Kuna mashetani wabaya sana huku.. Hapo mtegemee kumpoteza mama au mtoto.. Mungu aliingilie swala hili.. Time will tell..
Hakuna mtu aliyeanguka chooni/bafuni akapona.. Kuna mashetani wabaya sana huku.. Hapo mtegemee kumpoteza mama au mtoto.. Mungu aliingilie swala hili.. Time will tell..
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Nov 9, 2017 #3 Gentries said: Hakuna mtu aliyeanguka chooni/bafuni akapona.. Kuna mashetani wabaya sana huku.. Hapo mtegemee kumpoteza mama au mtoto.. Mungu aliingilie swala hili.. Time will tell.. Click to expand... Mmmh acha kumtisha mwenzio bwana
Gentries said: Hakuna mtu aliyeanguka chooni/bafuni akapona.. Kuna mashetani wabaya sana huku.. Hapo mtegemee kumpoteza mama au mtoto.. Mungu aliingilie swala hili.. Time will tell.. Click to expand... Mmmh acha kumtisha mwenzio bwana
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Nov 9, 2017 #4 macho89 said: Habari wakuu. Rafiki angu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaemia Kuoga Asubuhi kaanguka Kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia. Je kuna tatizo am a shida yoyote? Usiku mwema. Click to expand... Kama hajaumia basi hakuna shida yoyote asiwe na wasi wasi, ila awe makini na hiyo hali yake asije akaumia.
macho89 said: Habari wakuu. Rafiki angu ni mjazito na siku ya Leo kaniambia alipokuwa anaemia Kuoga Asubuhi kaanguka Kwa bahati mbaya bafuni ila hajaumia. Je kuna tatizo am a shida yoyote? Usiku mwema. Click to expand... Kama hajaumia basi hakuna shida yoyote asiwe na wasi wasi, ila awe makini na hiyo hali yake asije akaumia.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Nov 9, 2017 #5 Aende hoapitali akafanyiwe uangalizi mtoto aangaliwe usalama wake...vitu kama kuanguka ni vidogo sana lakini madhara yake baadaye ni makubwa sana
Aende hoapitali akafanyiwe uangalizi mtoto aangaliwe usalama wake...vitu kama kuanguka ni vidogo sana lakini madhara yake baadaye ni makubwa sana