Msaada-Mjenzi wa nyumba

lotus

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Naomba anayejua kampuni aminifu ya ujezi wa nyumba anijulishe .
Asanteni
 
ujenzi una aina mbili za huduma (consultants-architects,engineers na qs) na contractors.
inabidi utuambie kampuni unayoitaka ni katika stage gani? ili tuweze kukushauri vizuri. ni pm tuongee zaidi
 
Mwanza, natafuta mtu akatakaye nisaidia kuanza mwanzo kabisa mie na kiwanja
 
Naomba anayejua kampuni aminifu ya ujezi wa nyumba anijulishe .
Asanteni

Tuwasiliane tuna kmapuni ya ujenzi registered by crb inaofisi Dar na branch Mwanza.Tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…