Msaada: Mjomba wangu amenaswa na kitoto cha darasa la saba

Kila mwanadamu ana ukichaa wake, I'm not surprised!!
 
Humu jf hakuna wapumbavu wa kukupa ushauri kama huo hakuona mi mama hata jf ipo kibao tena ya ukweli
 
msaada ni kumtafutia wakili haraka kwa kuwasiliana na TLS
ambae atamsaidia kupunguza namba ya segerea...
muda wake ni mchache huko kitaa....
 
acha kuharibu uzi wa watu

mpe mwenzio ushauri
mwenzangu kivipi sasa?

kwani na mimi nimebanwa na kitoto cha la saba?

hahaha, wakati mwingine sisi wanaume tunawaza kwa kutumia vichwa vya m**b** zetu

Imagine mtu wa 38yrs old anashikwa masikio na mtoto wa 14yrs.. dah
 
Hainaga kumnasua. Ndo 40 zake zimefika.

Sheria ichukue nafasi yake na tunaomba apewe adhabu kali ili iwe funzo kwa wenzie wasio kuwa na uchungu na watoto.

Pervert!!!
Kukurupuka kubaya Jamani
Yaani sipati picha Ulikuwa unajibu vp Maswali ya Necta Brooo pole sana
 
MNahitaji kupewa ulinzi wa askari na wewe mwenyewe kwa tamaduni za kumfanya mtoto wa kike asihitimu hata elim ya Msing, kweli hadi unaomba ushauri?
Karipoti kituo cha polisi kumsaidia Mjomba Tafadhali au njoo PM tuongee.
Imagine ni mwanao huyo mtoto, ungeruhusu akatike kiuno kwa huyo mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…