mshindi lingasiku
Member
- Sep 8, 2018
- 7
- 1
Kuna mkandarasi wa ujenzi nimefanya nae kazi miezi mitatu kwa makubaliano kwamba zikitoka hela TANROADS ndio anilipe. Lakini cha kushangaza hela zimetoka kanigeuka na hataki kunipa pesa yangu, na kibaya zaidi tulikubaliana kwa maneno mbele ya mashahidi hatukuandikishana.
Sasa sijui nifanyaje wala nianzie wapi ili niweze pata pesa yangu, maana katika hela alizochukua kuna hela imebaki ambayo nilikuwa nawaza niizuie kama inawezekana.
Nahitaji msaada wana jamvi wenzangu.
Sasa sijui nifanyaje wala nianzie wapi ili niweze pata pesa yangu, maana katika hela alizochukua kuna hela imebaki ambayo nilikuwa nawaza niizuie kama inawezekana.
Nahitaji msaada wana jamvi wenzangu.