Msaada: Mkataba Kati ya kampuni ya ndani na ya nje

Msaada: Mkataba Kati ya kampuni ya ndani na ya nje

MachoMakavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
367
Reaction score
44
WanajF,

Kuna kampuni ya nje tunataka kuingia nao mkataba wa kutuuzia bidhaa. Wameleta mkataba kwenye kipengele cha jurisdiction kinasema mkataba utatambulikwa kwa cheria za nchi yako (wameitaja).

Hii imekaaje kwa sheria zetu, tutakua tumekiuka chochote kwa kukubali? kuna risk yoyote hata kama sheria zinaruhusu?
 
Back
Top Bottom