kanene
Member
- Jan 25, 2012
- 55
- 6
Habari zenu wandugu..mimi nimefungua kashughuli ka duka la reja reja. kwa kua nimekua ni mtu wa kutoka mara kwa mara nataka niajiri mtu kwa mkataba mdogo ili walau niweke mazingira ya ulinzi wa haka kaduka. Mwenye kuelewa naomba anisaidie japo hata kwa mfano mdogo.