CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Nahitaji mtaalamu (HR personnel) wa kuweza kuniandalia Mikataba ya wafanyakazi wa ndani (House girl na House boy/ Shamba boy). Mikataba ya miezi 3 au 6 (renewable based on operational requirements and/ performance).
Sambamba na mikataba hiyo nitahitaji JDs na KPIs (japokuwa KPIs naweza kuziandaa kwa kushirikiana na wahusika).
Nataka wawe wanawajibika na wawe answerable/ accountable kwa utendaji wao.
Siyo house girl/ boy anakuwa yupo yupo tu hana ratiba au JD inakuwa inapangwa on daily basis