Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Hadi Credit Card ya Mwamba ulikuwa unaitumia..Aloo jiandae na ulibebe hili..

Kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu ni kujiingiza mwenye kwenye tanuru la moto..
Naamini wataelewana, mwenyezi Mungu awajaalie. Inshallah.
 
Utajua kilichomnyoa Kanga manyoya, wewe badala ungekuwa unadokoa kwa siri sana mara moja moja uliamua kujimilikisha kabisa mke wa mtu!
Mkuu tumedumu kwenye mahusiano almost 4 years sasa. To be honest alikuwa kama Mke wangu tu. Four years nyingi sana... Na hapo kuna mambo sijataka kuyaweka hadharani.
 
Imebidi nikimbie tu mkuu naweza mrudia but subject to conditions
 
Aisee upo hatarini sana, usikute huyo mama j kaminywa na mme wake wanakuwekea mtego uliwe vizuri...kama amemsaliti huyo mme wake bila shinikizo akiminywa kidogo anakusaliti tu na wewe🐼
Ndo maana nimekimbia kaka, mambo yapoe kwanza.
 
Jiandae kuolewa kama hutaki kumuoa huyo Mwanamke.
 
Akhsante kwa matusi yako. Yote Kheri.
 
Si unaona ulivyo na kiburi yaani unasema kipenzi chako mke wa mtu ambaye unamkimbia, sasa si ubaki uishi na kipenzi chako cz umepewa bure. Be serious unapoomba ushauri lakini hauko tayari kuachana na mke huyo wa mtu it means unatuchora.
 
Mkuu sio kwamba nina kiburi hapana... Kama ningekuwa jeuri basi nisingekimbia...

Sema tu baada ya kuskiza ushauri imebidi niwe tyar kwa lolote... Kama wataelewena na mmewe ni sawa... Kama pia watashindwana mi itabidi niishi nae tu.

That's All
 
Dah classmate umezingua sana. Yaani hadi nyumbani kwa jamaa ulikua unaenda kulala comfortable kabisa. Kama sio chai basi vuna tu ulichopanda.
Ngoja jamaa amlee kiboga apate akili
Nimekusamehe ndugu. Mungu akusamehe pia.
Uliponea chupuchupu kupakwa mafuta wakati unaenda kulala kwa mwanaume mwenzio jiandaea kuolewa kabisa.

Wanaume huwa hawaendi kulala nyumbani kwa mke wa mtu.

Andaa kabisa tundu la haja kubwa.
 
Ngoja jamaa amlee kiboga apate akili

Uliponea chupuchupu kupakwa mafuta wakati unaenda kulala kwa mwanaume mwenzio jiandaea kuolewa kabisa.

Wanaume huwa hawaendi kulala nyumbani kwa mke wa mtu.

Andaa kabisa tundu la haja kubwa.
Akhsante kaka. Mwenyezi Mungu akuzidishie. Inshallah.
 
Mabinti na mashangazi wenzangu OGOPA MATAPELI,anaekupenda ni mmoja tu aliekuweka ndani ao wanaojileta baadae nimaajent wa kuua maisha yako na watoto wako kwakisingizio Cha mapenzi.
Baada ya yooote awezi kuoa single mother.
Mmmhhhh! Hujui tu ninayoyapitia mkuu. Ila ikitokea wakaachana.... Ntamuoa tu sina namna... Ila naomba Mungu waelewane...
 
Ngoja jamaa amlee kiboga apate akili

Uliponea chupuchupu kupakwa mafuta wakati unaenda kulala kwa mwanaume mwenzio jiandaea kuolewa kabisa.

Wanaume huwa hawaendi kulala nyumbani kwa mke wa mtu.

Andaa kabisa tundu la haja kubwa.
Mbona tunashindwa kuombeana mema Mzee? We pia ni mwanaume mwenzangu... Au unaijua kesho yako?
 
Mkuu sio kwamba nina kiburi hapana... Kama ningekuwa jeuri basi nisingekimbia...

Sema tu baada ya kuskiza ushauri imebidi niwe tyar kwa lolote... Kama wataelewena na mmewe ni sawa... Kama pia watashindwana mi itabidi niishi nae tu.

That's All
Okwa ushauri mzuri ni kwamba cz imeshatokea achana na huyo mwanamke kabisa wala usiwaze tena uwepo wake ktk maisha yako, pili ukisubutu kumuoa jamaa akajua umekwisha. Tatu nenda wahi mapema kwa wazee ukapate defense kabla ya kuwahiwa cz madhara huwa makubwa zaidi.
 
Akhsante mkuu. Mwenyezi Mungu akutunze... Inshallah
 
Mmmhhhh! Hujui tu ninayoyapitia mkuu. Ila ikitokea wakaachana.... Ntamuoa tu sina namna... Ila naomba Mungu waelewane...
Duuuuh kama sio chai.

Jamaa umezingua Sana.

Nikuulize swali.
Hivi wakielewana si mtaendeleza mahusiano au utamuacha?

Sio vizuri kutembea na mke wa mtu, hujui huyo jamaa kapitia wapi na mkewe.

Pia ameamua kukuachia wewe, na ujue hili ipo siku na wewe utagongewa nje, sababu hiyo ndio tabia yake huyo mwanamke na wewe pia utagonga nje hivyo utamuumiza huyo mwanamke. ( Na huyo mwanamke atajuta)

Mapenzi matamu Kwa sababu humtunzi wewe, Sasa Anza kumtumza uone, ili uone kama mapenzi yana raha zile mlizokuwa mkidanganyana.

Na kumbuka ukianza kuishi na huyo mwanamke kumbuka ameishazaa na jamaa, na Wazazi huwa hawaachani.

Mbeleni mwanamke atakuchoka jamaa atajilia mkewe kiulani tu Sasa sijui utajisikiaje.

Mwisho.
Usijaribu kuishi na huyo mwanamke. Sababu ni kosa juu ya kosa "kumbuka kisa cha Daudi na Mke wa Jenerali wake."

Mtakuwa mnazini maisha yenu yote sababu mume wake bado yupo hai hajafa.

Omba msamaha Kwa Jamaa, sio lazima ukutane nae. Wala usimshawishi amrudie mkewe ( Hilo ataamua mwenyewe) Sababu anaweza hisi unamlazimisha amrudie halafu uendelee kujilia maana amekuachia umeshindwa kujilia Kwa uhuru.

Omba msamaha Kwa huyo mwanamke Kwa kumuharibia ndoa yake.

Pia huyo mwanamke akubali tu amevunja ndoa yake Kwa mikono yake mwenyewe.

Omba msamaha Kwa Mungu.

Endelea na maisha yako.
 
Ko

Nakushauri ndugu andika wosia kwa kidogo ulichonacho,
Tumia muda mwingi kuomba mungu akupokee licha ya hayo yote uliyoyafanya.
Ogopa sana siku za witiri(zisozagawantika kwa mbili) yaan jumatatu, jumatano, ijumaa na jumamosi.
Ujinga wako unakupeleka mwisho, hasara ilioje mke anabaki na maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…