Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Sisi wanaume huwa tuna namna nyingi za kuacha wanawake..!
 
(acheni jamani watu tunapitia shida sana hapa Tanzania duh) kuna mda natamani hata niwe mkimbizi Afghanistan kuliko kuishi hapa Bongo.

1. Umepata shida kwa kujitakia.. wewe upo dunia yako sio hii nchi yetu woteee.
2. I guess umamaanisha shida maishani mwako ndio ilikupeleka utoke na mke wa mtu.. wewe ni mariooooooo..
 
Kuna kitu watu wanasahau. Sio kila wakati mume ana uchungu na mke, kuna nyakati anatafuta mtu wa kumchukua bila masharti. Jamaa kajitokeza kapewa mke anaogopa ogopa.
nadhani jamaa anaogopa sababu anahisi kila mwanaume ni ki ng'ang'anizi kama alivyo yeye
 
Yani wewe ni kiande kweli ukawa unaenda kulala kabisa kwa mwamba kwamba wewe ni kidume cha mbegu,sasa amekuachia rasmi mkakazane vizuri sikufichi huyo jamaa hatokuacha salama kuna kitu atafanya kaweka mtego.

Kwanini unahangaika na wake za watu madhara yake ni makubwa wewe endelea kujifichajificha ila kuna siku utanasa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…