Msaada: Mke wa pili (gari) anataka kunitoa roho jamani

Msaada: Mke wa pili (gari) anataka kunitoa roho jamani

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu najuta tena najuta mie kununua gari ni sawa na kuoa mke wa pili,

Kwa kifupi hili gari ni sawa na mke wa pili kwani linanipelekesha na kutaka kunitoa roho kabisa, lina gharama kama mke wa pili, linataka mafuta, service, matengenezo, huku nyuma wife nae anataka huduma zake pembeni , kuna dogo nae anataka matunzo yake.

Jamani mbona nita dead my jamani? may i RIP?
 
@K4LIFE......... heshima barabarani itapunguwa.....................,inawezekana ikapunguzwa na mke wa kwanza.
 
Ni gari aina ipi....? Au mgongo wa chura maana Luna gari zingine mhhhh!!!!
 
Back
Top Bottom