jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere, hata ninyi wenzangu sidhani kama mngependa wake zenu waone some of the funny things mnazopost hapa JF, hususani kwenye MMU Jukwaa.
User name hii ninayotumia hivi sasa nimeicreate recently, lakini nina user name nyingine ya miaka mingi, na ni Nimeshafikia kwenye Rank za juu kabisa hapa JF. Na nisingependa niachane na hiyo User name.