Hydrocephalus
Member
- Feb 6, 2012
- 27
- 5
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Hata mimi nashangaa anacho ogopa nini, kama hafanyi mabaya.kwan c ni mke wako, sasa waswas wa nini, kuna ubaya akijua user name yako? au unataka kumcheat?
acha hiyo hiyo inayo julikana na mkeo. siku yakikufika tunaweza pata taarifa kirahisi.
una maajabu yeyote kwanini unaogopa
Why nyingine?
Huwa unatafuta wachumba JF?
Unvisit majukwaa gani ambayo unaona si vema yeye akajua?
Una uhakika gani kuwa anaweza kufuaitilia mjadala huu na kuona unavomshitakia?
Do you really love your wife?
jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere, hata ninyi wenzangu sidhani kama mngependa wake zenu waone some of the funny things mnazopost hapa JF, hususani kwenye MMU Jukwaa.
User name hii ninayotumia hivi sasa nimeicreate recently, lakini nina user name nyingine ya miaka mingi, na ni Nimeshafikia kwenye Rank za juu kabisa hapa JF. Na nisingependa niachane na hiyo User name.
are you a criminology?
Kweli kazi tunayo yaani mpaka mkeo hutaki ajue ID yako......!?Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Siriiii imefichuka, kosa la mesenja kaleta balaaa...kosa la mesenja kaleta balaaa..Nimejuua aina ya maisha unayoishi na mkeo, hahahahaha.............kumbe mko kama paka na panya!! Duuuu.., inawezekana ulilazimishwa kumuoa!!