Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
hata ukibadili ID bado ataijua.....
How...?
Kwa nini unaogopa kivuli cha mkeo?
Nyie mnaojifanya kumshangaa kwamba anataka kubadili ninyi kwa nini hamkuweka majina yenu ya ukweli, binafsi namshauri abadilishe.
HEBU ACHA KUTUFANYA MAZUZU WEWEEE. KWA HIYO HII POST/THREAD ULOIANZISHA HAIONII EEEENH!?Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Unamaanisha aki-kanumba?
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Nimetumia user name nyingine, hata ukiangalia inaonesha bado ni Junior member, but mimi ni Nguli Hapa JF wa Kuanzia Mwaka 2008. Na nisingependa niachane na Hiyo status niliyofikia.
Like. . .Like.Wewe si uliuliza earlier this months (kama wiki mbili zimepita) juu ya issue hii?
mbona unarudia tena?
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mke-wangu-ameijua-user-name-yangu-ya-jf.html
Basically si kwamba naogopa kivuli cha mke wangu!! But I don feel free, for her to see some of my opinions in JF. I share most of the things with her. Lakini kwa hili, ninakuwa na restrictions kutoa some opinions. I mean, kila nitakachotaka kuandika nitakuwa najaribu kuassess implication yake yeye akijua. So this is actually what i dont like!!.
How...?