Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

jastin ndangala

New Member
Joined
Dec 23, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara

Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi .

NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA ZINAA

Je, yawezakuwa sahihi. Ushauri please
 
Unalo!
 
Kwanza mpeleke hospital ndio utaoata majibu kamili, baada ya majibu ndio hatua nyingine zifate.
 
Kabla ya kumuhukumu mpeleke hospitali kwanza. Sio kila kipele/kidonda sehemu za siri ni ugonjwa wa zinaa.

Ila kuna vitoto vinapaka mkongo, inawezekana wife kakutana nao akapewa nje ndani za nguvu mpaka kuchubuliwa
 
🤣😂🤣😂Yani anaugua vidonda ukeni,halafu anatulia home anakusubiri umpeleke hospital 👁️👁️ni mama wa nyumbani nn?
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Yani anaugua vidonda ukeni,halafu anatulia home anakusubiri umpeleke hospital [emoji2539][emoji2539]ni mama wa nyumbani nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom