jastin ndangala
New Member
- Dec 23, 2023
- 1
- 1
Unalo!Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara
Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi .
NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA ZINAA
Je, yawezakuwa sahihi. Ushauri please
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Yani anaugua vidonda ukeni,halafu anatulia home anakusubiri umpeleke hospital [emoji2539][emoji2539]ni mama wa nyumbani nn?