Msaada: Mke wangu anapata hedhi hata baada ya kunasa mimba

Nendeni hospitali

Hopefully mtafanya us

Na muone maendeleo ya mimba

Au ana SCH
 
Hiyo mimba ina miezi mingap?
Je,hiyo damu inayotoka inatoka kiasi gan kwa siku?
Hyo damu ni ya aina gan?mabonge mabonge(clotts) au mbichi(fresh)
 
Hiyo mimba ina miezi mingap?
Je,hiyo damu inayotoka inatoka kiasi gan kwa siku?
Hyo damu ni ya aina gan?mabonge mabonge(clotts) au mbichi(fresh/QUOTE]

Ina mwezi kama na wiki mbili kuhusu damu sijamuuliza, asante.
 
Asante sana na SCH ndio kitu gani?
Subchorionic hemorrhage (subchorionic hematoma) is the most common sonographic abnormality in the presence of a live embryo. Vaginal bleeding affects 25% of all women during the first half of pregnancy and is a common reason for first-trimester ultrasonography.May 24, 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…