pole sana kwa hilo, wakati wengine wanatumia vidonge vya kukuza matiti, wapo pia wanaotafuta vidonge vya kupunguza matiti..
kuhusu hili tatizo mara nyingi hutokea pindi mama anapojifungua lazima ukubwa wa matiti huongezeka sana, kutokana na kuzalishwa chakula cha mtoto kwa wingi lakini kwa jinsi anavyoendelea kunyonyesha kwa wingi ndio tatizo linapungua na baada ya miezi kazaa yanajirudi katika hali ya kawaida,
pia sikushauri umwambie atumie dawa yoyote ya kupunguza kwani pia inaweza kusaababisha magonjwa kwa mama na mtoto pia,