Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Hilo ni bomu linalosubiri muda kulipuka tu ila kama unajiweza vizuri kulikumbatia ilo bomu hakikisha umejiandaa vizuri afya ya akili bila hivyo mtagawana majengo kama sio majengo basi kama unayajua magonjwa yasiyoambukiza tu yatakuhusu maana yako milangoni yameanza kubisha hodi muda sio mrefu utayafungulia mlango yaingie, kuanzia upya sio ujinga kila kitu kinachotokea kwenye maisha kina maana usipuuzie take your time kufikiri mara mbili mbili, narudia tena andaa afya ya akili yako vizuri tofauti na hapo
 
Asee nimeshikwa hasira ile mbaya, hivi ni kweli au unatania? Afadhali uwe unatania ila kama ni kweli wewe ilipaswa uchinjwe Christmas hii. Na mie najitolea kukuchinja ikiwa watu wanaogopa kufanya hivo.

Please mkuu naomba ukubali ombi langu la kukuchinja Christmas maana umesema umechanganyikiwa hujuelewi. Nipo serious kabisa naomba ukubali ombi langu la kukuchinja.
 
Wewe ni lofa, unanunua upendo kwa gharama na muda,
kusikia kwa kenge ni kuvuja damu masikioni
wewe ni king'ang'anizi sana pumbavu
 
Nimerudi sasa hiyo ni kweli kabisa wanawake wanapenda majitu magomvi,malevi mavuta bhangi ukiwa katekista itakula kwako...nimeielewa hii nakazia zaidi.
Wengine hiyo kitu tumeifahamu tukiwa njiani kuelekea machweo..
Tumekuza vipaji vingi sana kwakweli.
 
Mistori ya ku copy facebook na kuja kupaste JF...
 
Kuna wanaume mna baraka nyingi sana za ujinga na upumbavu.
Mwanamke mtumba ana watoto wawili na wewe kijana una miaka 32.
Ushauri wangu ni kuwa acha upumbavu.
 
Huyo sio mke wako! Hujamuoa
2. Kama Hana bikira huyo ni mke WA MTU
 
Changanyikiwa zaidi. Binafsi siwezi kukushauri kwani hapa inaoekana unataka kutuchora tu wakati unajua nini unataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…