Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Kama hujui Cha kufanya huna akili
 
MKE WA MTU, SINGO MAZA NA ANA WATOTO WAWILI

HAKUTAKI, HATAKI UMUOE, Alafu unalazimisha??

HII INAONESHA DEM ANA AKILI KUBWA SANA KULIKO WW BWEGE.

OA UONE MOTO, SHENZI KABISA.

#KATAA NDOA
 
Muache huyo sio mkewako
 
Nimeanza vizuri kusoma nikaja stuka unataka muoa mwanamke ambaye alishaolewa tena mbovu zaidi ni ana goli mbili mkononi. Ebana ee, tuwaambie mara ngapi!?

Mwanamke aliyewahi kuolewa akaachika kwa sababu yoyote ile, katu usijethubutu kutaka kumuoa! Tomba tu sepa. Aliye na watoto achana naye, vigoli wako wengi mnoooo! Usijitie baba huruma iko siku utanielewa kwa njia ngumu
 
Wewe Mhalifu ulivunja ndo ya Watu Tulia unyolewe
 
Mkuu samahani thread umeielekeza kwa kinamama, lakini naona haina mwitikio na fake Id's zetu hizi, ndiyo maana tumeona tuingilie kati kuokoa jahazi ili lisizame.

Mama yako pamoja na ndugu zako huyo mwanamke wamemuona upande wake wa pili wa tabia zenye kero ambazo wewe umekiri hazikusumbui, lakini mtakapoendelea kuishi naye, nawe zitakusumbua vile vile!

Umemuonesha upendo wa dhahiri lakini bado anawasiliana na mtalaka wake na anapowasiliana na mtalaka wake, wewe unablockiwa, unaielewa maana yake?

Anakimbiza watoto kwa baba yao kwa siri na wakati huo wewe unapigwa mkwara wa marufuku ya kuwatafuta kuwaona, halafu baada ya kugundua bado unaendelea kulialia muendeleze mahusiano!

Wewe unadhani ni kwa nini mwenyezi Mungu kakuonesha siri iliyojificha kwa njia ya msg?

Wewe ni kijana mdogo sana unayetaka kujibebesha msalaba wa maisha usiokuhusu bila sababu.

Ungelikuwa ni mzee ningelishauri tofauti, lakini kwa umri wako huo tafuta msichana fresh aliyetulizana kwa wazazi wake kwa kufuata process zote uoe utapendwa na utampenda.

Kwa umri huo usiyafanyie mzaha maisha, upo na umri ambao ni vema ukawa na mwanamke tayari wa kujenga naye maisha na si kuhodhi 'manungayembe' ama 'mamishangazi'.

Achana na mahusiano hayo yasiyo na staha.
 
Mwehu kweli, yaani una-date na mke wa mtu halafu unatuomba ushauri 😏😏😏
Umeamua kumpindulia meza.
Mwanamke mtalaka bado utamuita 'mke wa mtu'?
Sema nini, huyo mwanamke hafai, jamaa anajipotezea muda wake bure.
 
Dunia hii ni kubwa sana kiasi kwamba kuna watu wanadunia yao
 
Tafadhari kama kijana nakushauri apo KIMBIA HARAKA SANA, usiseme sikukuambia
 

Wewe jamaa mbona unalazimisha kuoa mke wa mtu. Piga chini tafuta mke wako kijana
 
Usichokijua kuhusu hawa viumbe ni kwamba wanawapenda sana BADBOYS/ALPHA MALE kuliko Soft boys/Betamale.

Inshort wengi wao wanapenda mikiki mikiki.
 
Sasa unashindwa kufanya maamuzi ili hali umeambiwa ufanye maamuzi mwenyewe? Mkuu punguza utoto mechi haijaanza tayari umepigwa 2-0 achana nae huyu mtu utakuja kulia kilio kibaya sana mzee...... maamuzi ni kupiga chini kama una kibunda kama unavyosema unashindwaje kupata dem mzuri wakueleweka uwoe utulize komwe?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushauri wakiungwana sana
 
Mwanaume usiamini mahusiano mapya ya anayekwambia wameachana wiki ama mwezi, ama miezi kadhaa ...ukiwa nae anamlaumu X .... Hamalizi siku bila kumtaja X etc
Bado hisia ziko .. we omba safari ya SGR DSM to DOM to DSM kisha kaa kando kidogoo ... Hata ka umepewwa huduma ya first class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…