Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Nimesoma aya ya kwanza na kuona inatosha kusema wewe ni mtu mpumbavu sana.
 

Mkuu, huu ujinga ulio nao umesomea, au ni kipaji ulizaliwa nacho Omopa
 
Acha ufala wewe, unajifanya mbeba misalaba? Unataka kujifanya wewe ndiye unajua ku provide the shoulder to cry/lean on?
Katafuta mwanamke wako, huyo ni mwanamke wa wenyewe
 
Listen fella., the more traumatized a woman is the more dangerous it is for you as a man to be with her.

The sweetest thing men want from women is innocence and that's what a traumatized woman can't give you because she has been through a lot and now her heart is solidify with so much pain and bitterness, she's too careful with you, you will forever be a suspect.

The relationship you are building with her will forever be judged on the lens of her past relationships and how she was treated.

Don't try to say you want to heal her, you can't because she's already broken.

You as an innocent man with no such experience, avoid such women for your own good.

Don't be a rehabilitation centre for her, don't be her therapist.

You can't change her and you can't save her. Let her go.

Let damaged people, marry demaged people and good people marry good people.

I love you, i love you my brother.
 
Wanasema until utakapo yapitia ndio utaelewa why, nadhan huyu bwana yupo kwenye hiko kipind. After this sidhan kama atakuwa anawaona wanawake in same view again
Bahati mbaya sana amechelewa, wenzake tulishawaelewa wanawake tukiwa middle 20's
 
Aidha umelogwa au akili zako hazipo sawa
 
Kwani mpumbavu ni tusi? Maana wewe ni mpumbavu. Single mother achana nao kabisaaaaa. Japo ninayeongea nina dada wawili wamezalia nyumbani ila nawaambiaga, simuombi Mungu nikutane na mwanamke mwenye mtoto. Hatakupenda kwa moyo wake wote, hataamini kama unawapenda watoto wake kama unavyopenda wa kwako. Na bado bado hawezi kuachana na Ex zake kirahisi. Mara nyingi kama mke hukumpata sealed na wewe hukuwa sealed unatakiwa uombe kutoa copy za nafsi za watu uliowaingiza ndani kwako na yeye awatoe wa kwake. Msipofanya hivyo ndoa lazima iwe na misukosuko.
Kimbia acha ujinga na ufala. Kamtukana Mama yako mzazi, kawasiliana na ex warudiane. Unasubiria umkute kifuani kwake ndo uamini?
 
Yaani jamaa anaona kabisa hapendwi Ila anataka kulazimisha nyekundu kuwa njano.
Sure mzee baba, demu alijiweka tu kwa jamaa ili awe healed na zile nyakati ngumu, mawenge yameisha sasa anakumbuka yale mapigo ya johnny sins aliyokua anapewa na mtalaka wale.
 
Nimerudi sasa hiyo ni kweli kabisa wanawake wanapenda majitu magomvi,malevi mavuta bhangi ukiwa katekista itakula kwako...nimeielewa hii nakazia zaidi.
Kila siku nasisistiza ilo suala tatizo penzi likikolea halafu mfukoni kuna vijisenti vya kubadilisha mboga vijana hauwaambii kitu, ukiwaleekeza watakujibu tafuta hela. Mpaka wapigwe nyundo ya utosi na uyo future wife ndio wanaelewa kaka zao tulikua tunamaanisha nini.
 
We jamaa ni mjinga sana, Hustahili ushauri bali makofi ya kelbu mpaka akili yako izibuke

Kila siku tunasema hapa,Usioe Single Maza hamuelewi na hamsikii.

Yakishawakuta huko mnakuja hapa JF kulia lia na kuomba ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…