Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Sijui nikutusi ila wewe sio mzima kabisa nenda hospital ukapimwe akili bro.
 
Kila siku tunasisitiza umuhimu wa bikira tunaishia kushambuliwa, mbaya zaodo mashambulizi hayo yanatoka mpaka kwa wanaume wenzetu.

Haya masaibu yote ya mleta mada yanaepukika kwa kuoa mke ambae umemkuta bikira.
Itakua somo huwa linakuaga gumu kueleweka, itabidi uwe unapunguza vingereza mule ndani ili vijana yakiwakuta wasilete visingizio ya kwamba hawakuwahi kuambiwa 😃😃.
 
 
Hii story kachukua sehem, ukiisoma vizuri utaelewa😅
 
Red Flags ⛳
1.Status -Single Mother-idadi watoto wawili, tulishakubaliana kuwa unapooa single mother hakikisha umeshuhudia kwa macho yako kaburi la baba yao,Maana mwanamke hazai na mwanaume huzaa na mwanaume anayempenda kwa dhati. Ukiona watoto wawili ujue anampenda Sana, wameachana lakini hutakiwi kuingilia. Muulize Shakib aliyemuoa Zari atakusimulia.

2.Hasira-Alitaka kumchoma kisu!! Mkuu mwanamke aliyewahi kutishia kumchoma mtu kisu hayuko sawa kisaikolojia (pengiine sababu ya kipigo) kuna siku tutakusikia kwenye magazeti.

3.Umekuta message -UNATAKA USHAHIDI UPI -Mungu anakuepushia matatizo unashupaza shingo.

Mkuu tafadhali kimbia usigeuke nyuma, Hakuna mechi inaanza na magoli mawili -Shauri yako.
 
Ushazidiwa mkuu, umependa mpaka umependa tena, utaburuzwa Hadi uisome namba usipoamka. Miaka 32 hujui kama hapa unapendwa au hupendwi?
 
Hata hili nalo sisi tukushauri!! Na wewe wasiliana na X wako!
 
Mpaka nimesikitika nilipokuwa nasoma uzi wako, we jamaa mbona unakuwa mjinga na mpumbavu kiasi hicho kwa nini unataka kuoa mke wa mtu? Utakuja siku kulialia hapa tena umekosa mwanamke wa kuendana na uhalisia wako au tuseme ndio domo zege. Kila siku JF hapa wanaongelea kuoa single mama wewe usikii utakuja kufa kibudu shauri yako.
 
Mapenzi ni upofu, mapenzi ni kama ulevi wa hisia, mapenzi yanatesa moyo. Mm naelewa hali yako mkuu lakni ww ni mwanaume, fanya maamuzi magumu kwa kutumia AKILI yako usitumie HISIA.
Huyo mwanamke ni wazi hayuko committed kua na ww, bado anampenda EX wake, Ww amekufanya daraja la kutuliza maumivu ya moyo wake lakn kwa story hii kaka hayupo serious kua na ww.

Endapo utamuoa mwanamke huyu ndoa yako itakua ya shida sana na pengine itajawa na mambo ya usaliti na kuumizana.

Ulimfungulia biashara na kumfanyia vitu vingi ambavyo pia hua vinaumiza lakini hesabu kua hasara. Vitu vinatafutwa kaka utapata vingine. Lakini huyo mwanamke sio kabisa, sikushauri kuingia naye kwenye ndoa atakutesa.
 
A
Achana naye! Kuoa mwanamke mwenye watoto bila kuona kaburi la baba wa hao watoto ni sawa na kununua plot yenye mgogoro wa umiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…