Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Upo makini ,. Huenda anatoa TU story iwe funzo Kwa wengine
 
Sasa wewe dogo unahangaika na huyo mwanamke wakati unaweza kwenda kijijini kwenu ukaopoa chuma fresh ukaanza maisha? Kama aliachana naye miaka mi4 kwa mateso na bado anamtaka ujue wewe hujaweza kumfikisha alipokuwa anamfikisha ex wake, tafuta mnaetoshelezana
 
Ulishaacha kununua Malaya...??tajiri wa matarljiri...🤣🤣

 
.
Mkuu, hapo unaomba ushauri gani? Huyo ni mke wa mtu! Ushahidi uko wazi kabisa kwamba atarudiana na mume wake.
.
Ushauri: Usikilize wanawake wanachoongea, angalia wanachofanya.
 
Bro

Acha ujinga
 
Wakuu, msaada , Nikienda chooni kukata gogo, sikuti maji, nifanyeje ?
 
Piga Chini atakuja kukusumbua sana ,dalili ya mvua ni mawingu bado haja-move on huyo.
 
Mkuu,Stori yako Ndefu ila kiufupi.OA tu.Si ushampenda?
 
Kama unajua bado anawasiliana na baba wa watoto wake unataka tukushauri nini tena hapo? Huyo ni mke wa mtu tafuta wa kwako
 
Eeek h
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…