Msaada: Mkeka wa Sensa Kibaha TC hauonekani

Msaada: Mkeka wa Sensa Kibaha TC hauonekani

Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share
Nakushauri wewe kama ulituma maombi yako nenda kwenye ofisi ya mtendaji wa kata yote utakutana nayo ukouko....ukitegemea simu ama kubandikiwa ukutani ilo sahau
 
Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share
Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi.

Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata
 
Back
Top Bottom