luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jul 19, 2022 #1 Mkeka wa sensa wa Kibaha TC hauonekani, msaada mwenye access ya huu mkeka please share.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jul 19, 2022 #2 luangalila said: Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share Click to expand... Nakushauri wewe kama ulituma maombi yako nenda kwenye ofisi ya mtendaji wa kata yote utakutana nayo ukouko....ukitegemea simu ama kubandikiwa ukutani ilo sahau
luangalila said: Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share Click to expand... Nakushauri wewe kama ulituma maombi yako nenda kwenye ofisi ya mtendaji wa kata yote utakutana nayo ukouko....ukitegemea simu ama kubandikiwa ukutani ilo sahau
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jul 19, 2022 #3 luangalila said: Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share Click to expand... Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi. Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata
luangalila said: Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share Click to expand... Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi. Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jul 19, 2022 Thread starter #4 Mwifwa said: Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi. Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata Click to expand... Hamna kitu
Mwifwa said: Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi. Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata Click to expand... Hamna kitu