Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Ndugu zangu ma Doctors, nilienda kupima mkojo nikaambiwa mkojo wangu hauna tatizo, ila nakojoa mkojo wa njano sana, nakunywa maji lakini still mkojo niwanjano sana, then nakojoa kila baada ya mda mfupi, tatizo linaweza kuwa nini? labda mnisaidie nikapime vipimo gani?