Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Jaribu pia kufanya Abdominal Pelvic ultrasound. waweza kuwa na tatizo kwenye pancrease. macho pia ya njano?
nidhani hunywi maji ya kutosha. kisukari je, umepima?
kaka kati ya vitu naogopa duniani baada ya shetani kinafata kisukari, sijacheki bado... yani mpaka nakosa raha...