Msaada: Mlango wa Nyuma haufunguki kwa ndani na kioo hakishuki

Msaada: Mlango wa Nyuma haufunguki kwa ndani na kioo hakishuki

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Nina ka mkweche kangu Toyota Premio 2006 gafla Mlango wa nyuma upande wa kushoto haufunguki kwa ndani na kioo hakipandi wala kushuka, nini tatizo? nini chakufanya
 
Kama mlango wako wa nyuma haufunguki kwa ndani itakuwa umeweka 'baby lock'. Angalia kwenye huo mlango pale unapoungana na gari kuna ka plastic keupe, kama kameshuka chini, kapandishe juu. Kuhusu kioo angalia pale kwenye mlango wa dereva kuna button ya kulock vioo vyote visifunguke ibenjue kwa juu kuv unlock. Ukiona imekataa basi inawezekana kuna matatizo ya umeme au mota ya kioo imekufa. Peleka kwa fundi akarekebishe.

* Baby lock - hii ni lock inayowekwa kwenye milango ya nyuma ya gari kumuepusha mtoto kufungua mlango kwa bahati mbaya wakati gari likiwa linatembea. Inaweza kuwekwa na kutolewa na mtumiaji wa gari kulingana na uhitaji wake.

20130803__limo3.jpg


maxresdefault.jpg
 
Kama kioo hakipand wala kushuka kwa kutumia button za kwa mlango wa drver buc ujue gar lme poteza kumbukumbu either ulichomoa betri au ulitumia betr ya gar yako ku boost gar nyngne .....unaweza kurudsha kumbukumbu kwa kupandsha na kushusha kioo kwa kutumia button zote mbili za kwenye mlango usiofunguka na button za kwenye mlango wa mbele jarbu hvyo kwa pamoja mara nyng uwezavyo kumbukumbu ztarud ....!! Au baada ya mdaa ukitembea kumbukumbu ztarud zenyewe
 
CR wa SUA niliyewahi kuishi Ethiopia kama diaspora hiyo gari ningeitupa jalalani.
 
Mkuu naomba unielekeze jalala ulilowahi kutupa gari nikaokote
CR wa SUA diaspora wa ethiopia sijawahi kumiliki gari mkweche. Nina Subaru la ukweli si mtu wa mchezo mchezo mimi.
 
CR wa SUA diaspora wa ethiopia sijawahi kumiliki gari mkweche. Nina Subaru la ukweli si mtu wa mchezo mchezo mimi.
Aaah CR wa SUA kwani unalo moja tu? Hilo huna mpango wa kutupa?
 
Likikwecheka (likiwa mkweche) nalitupa sinaga mchezo me ndo CR wa SUA buana diaspora wa Ethiopia.
Mi nikajua una hata mawili. Basi bwana endelea kukusanya test na kuwasilisha coursework kwa classmates wako.
 
Back
Top Bottom