Jamani naomba mwenye kujua tarehe ya mwisho ya kupeleka barua za kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu anijuze tafadhari
Wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi mwezi june
Barua zinapokelewa kuanzia march 30 hadi June 15....
taarifa ipo kwenye website ya tamisemi
PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government
madam evelyn mzima .. .