Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Kuna baadhi ya watu wameniambia,zile minimum admission points ambazo kila chuo imejiwekea,hazizingatiwi sana na vyuo husika ikiwa vyuo hivyo havijapata watu wa kutosha kwenye kila programme.Je,kuna ukweli wowote hapa? Kwa mfano:kama chuo kinahitaji watu 100 kwenye program ya Bs in Education with Science,na minimum point ni 4.5,je,mimi nikiwa na minimum ya 2.5 ntachukuliwa ikiwa watu 90 tu ndio walioomba?? Natanguliza shukrani.