Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Kuna baadhi ya watu wameniambia,zile minimum admission points ambazo kila chuo imejiwekea,hazizingatiwi sana na vyuo husika ikiwa vyuo hivyo havijapata watu wa kutosha kwenye kila programme.Je,kuna ukweli wowote hapa? Kwa mfano:kama chuo kinahitaji watu 100 kwenye program ya Bs in Education with Science,na minimum point ni 4.5,je,mimi nikiwa na minimum ya 2.5 ntachukuliwa ikiwa watu 90 tu ndio walioomba?? Natanguliza shukrani.
kua makini wakati wa kuomba jitahdi sana kuweka kipaumbele kwa vile vyo ambavyo wanahitaji hzo point.kuna wenzako mwakajana waliambulia 2nd applicant na mkopo wakanyimwa.so wakati wa kujaza anza na vyuo vinavyoikubali hyo 2,5
Na mm jaman coz nina points 2 lkn kuna course ya building economics ya chuo cha Ardhi na yenyewe inahitaji points 2 lkn inahitaji niwe na japo S ya Math's lkn nimeikosa bt o-level nna credit ya physics na Math's
umehairisha kukata rufaa au?